KAMA NI KWELI, TOTTENHAM WANASUKA BOMU
Klabu ya Tottenham Hotspur ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa viungo wawili, Sandro Tonali na Mateus, katika dirisha hili la usajili. Kwa mujibu wa taarifa…
Mkusanyiko wa habari
Klabu ya Tottenham Hotspur ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa viungo wawili, Sandro Tonali na Mateus, katika dirisha hili la usajili. Kwa mujibu wa taarifa…
Klabu ya Al Nassr imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kuimarisha kikosi kuelekea misimu ijayo baada ya kutangaza rasmi kukamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Romania, Marius Marin.…
Matokeo ya kufungwa 2-1 na England yanaweza kuumiza, lakini kwa namna DRC Congo walivyocheza, hakuna sababu ya kujiona wameshindwa vibaya. Ukiangalia ubora wa kikosi cha England, tofauti ilikuwa…
Aliyekuwa kocha wa Liverpool, Jürgen Klopp, ameonyesha utayari wa kurejea benchi la ufundi ikiwa atapewa jukumu la kuinoa timu ya taifa ya Ujerumani. Ripoti zinaeleza kuwa, licha ya…
Klabu ya Shabab Belouizdad ya Algeria imemtangaza rasmi kiungo wa kimataifa wa Tunisia, Houssem Tka, kuwa mchezaji wake mpya ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu wa 2026/2027.…
Baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kombe la Dunia, kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich, Michael Olise, anatarajiwa kukutana na viongozi wa klabu hiyo kwa ajili ya kujadili mustakabali…
Mwamuzi wa kimataifa kutoka Morocco, Jalal Jayed, ameendelea kuonyesha kiwango cha juu cha uamuzi baada ya kusimamia mchezo wa hatua ya 16 Bora wa Kombe la Dunia la…
Kocha raia wa Ufaransa, Romain Folz, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ittihad Alexandria, na kuwa kocha wa kwanza kutangazwa rasmi na klabu hiyo kuelekea msimu…
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amekuwa gumzo mitandaoni baada ya picha zinazoonekana kumuonyesha akiwa kwenye mechi mbili tofauti kusambaa.Katika picha hizo, Infantino anaonekana kwenye uwanja akifuatilia mchezo wa…
Cape Verde imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia baada ya kutoka sare dhidi ya Saudi Arabia katika mchezo wake wa mwisho wa Kundi H, na…