Michezo Kimataifa

MIAKA SITA YA MAPENZI, DAKIKA CHACHE ZA VIPIMO NA UAMUZI MGUMU ULIOFUTA NDOTO YA HARUSI

Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...

SANDRO TONALI ATIMKIA TOTTENHAM KWA UHAMISHO WA KUDUMU

Klabu ya Newcastle United imetangaza rasmi kuondoka kwa kiungo wa Italia, Sandro Tonali, ambaye amejiunga na Tottenham Hotspur...

LEO BAPTISTAO AONGEZA MKATABA WAKE UD ALMERÍA

Klabu ya UD Almería imethibitisha kuwa mshambuliaji wa Brazil, Leo Baptistao, ataendelea kuitumikia timu hiyo baada ya kuongeza...

SEBASTIÁN ARÉ AJIUNGA NA SANFRECCE HIROSHIMA KWA MKATABA WA KUDUMU

Klabu ya Sanfrecce Hiroshima ya Ligi Kuu ya Japan (J1 League) imetangaza rasmi usajili wa mshambuliaji Sebastián Aré...

ATLÉTICO MADRID YAMKARIBISHA DILI LA KING-IN LEE KWA EURO MILIONI 40

Klabu ya Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Kang-in Lee kutoka Paris Saint-Germain (PSG) katika dirisha...
spot_img

TOTTENHAM MAJANGA TUPU MSIMU HUU EPL, IKICHAPWA NA SUNDERLAND

BAADA ya kufungwa bao 1-0 na Sunderland, ni wazi Tottenham inaelekea kushuka Daraja msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL). Kichapo hicho ni mwendelezo...

JE MIKEL ARTETA AMEKALIA KUTI KAVU ARSENAL?

LONDON, UingerezaIMEFICHUKA kuwa mabosi wa Arsenal wameanza kusaka mrithi wa kocha wa sasa, Mikel Arteta. Ripoti zinaeleza kuwa mabosi wa Arsenal hawatovumilia endapo timu yao...

CHERKI WA MAN CITY AWEKA REKODI

MANCHESTER, Uingereza ‘ASISTI’ zake katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea zimemfanya kiungo wa Manchester City, Rayan Cherki, kuweka rekodi mpya Ligi Kuu England...

KINDA WA SOKA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

ACCRA, Ghana NYOTA wa kabumbu mwenye umri wa miaka 20 nchini Ghana ameuawa baada ya watu wasiojulikana kuvamia na kulishambulia kwa risasi basi la timu...

SHABIKI KUISHITAKI ARSENAL KWA KUMSABABISHIA ‘STRESS’

KAMPALA, Uganda SHABIKI wa Arsenal raia wa Uganda, Eric Kyama, anajiandaa kuifungulia mashitaka klabu hiyo kwa kile alichodai imemsababishia changamoto za kisaikolojia, hasa huzuni na...

HII HAPA ORODHA YA MAKOCHA WA SOKA MATAJIRI ZAIDI DUNIANI

LONDON, Uingereza SOKA ndiyo mchezo unaopendwa na kufutatiliwa zaidi duniani, hiyo ikisababisha wachezaji na makocha kuishi kifahari kutokana na fedha nyingi wanazovuna. Katika makala haya, hawa...
spot_img