Michezo Kimataifa

MIAKA SITA YA MAPENZI, DAKIKA CHACHE ZA VIPIMO NA UAMUZI MGUMU ULIOFUTA NDOTO YA HARUSI

Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...

SANDRO TONALI ATIMKIA TOTTENHAM KWA UHAMISHO WA KUDUMU

Klabu ya Newcastle United imetangaza rasmi kuondoka kwa kiungo wa Italia, Sandro Tonali, ambaye amejiunga na Tottenham Hotspur...

LEO BAPTISTAO AONGEZA MKATABA WAKE UD ALMERÍA

Klabu ya UD Almería imethibitisha kuwa mshambuliaji wa Brazil, Leo Baptistao, ataendelea kuitumikia timu hiyo baada ya kuongeza...

SEBASTIÁN ARÉ AJIUNGA NA SANFRECCE HIROSHIMA KWA MKATABA WA KUDUMU

Klabu ya Sanfrecce Hiroshima ya Ligi Kuu ya Japan (J1 League) imetangaza rasmi usajili wa mshambuliaji Sebastián Aré...

ATLÉTICO MADRID YAMKARIBISHA DILI LA KING-IN LEE KWA EURO MILIONI 40

Klabu ya Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Kang-in Lee kutoka Paris Saint-Germain (PSG) katika dirisha...
spot_img

CHELSEA WAMTUPIA JICHO WILLIAM GOMES

London, Uingereza Klabu ya Chelsea imeendelea kuonyesha nia ya dhati ya kumsajili kiungo wa pembeni wa FC Porto, William Gomes, huku taarifa zikieleza kuwa maskauti...

BEKI NEWCASTLE ASAKWA NA VIGOGO ULAYA

LONDON, Uingereza SAINI ya beki wa kushoto wa Newcastle United, Lewis Hall, inawindwa na klabu kadhaa kubwa za Ulaya, zikiwemo za Ligi Kuu ya England...

KOCHA WA ZAMANI WA UNITED APEWA MIKOBA GHANA

ACCRA, Ghana ALIYEWAHI kuwa kocha msaidizi wa Manchester United wakati ule wa Alex Ferguson, Carlos Queiroz, amekabidhiwa mikoba ya kuinoa timu ya Taifa ya Ghana...

MKONDO WA PILI ROBO FAINALI MABINGWA ULAYA, MBIVU NA MBICHI KUANZA KUJULIKANA LEO

LONDON, UingerezaMECHI mbili za marudiano za hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zitachezwa usiku wa leo, kabla ya zingine (2) kuchezwa...

BEAUMELLE AKIRI UGUMU WA SUNDOWNS, AWAHIMIZA WACHEZAJI WAKE KUPAMBANA

Kocha mkuu wa klabu ya Espérance Sportive de Tunis, Patrice Beaumelle, amekiri kuwa kikosi chake kinakabiliwa na changamoto kubwa kuelekea mchezo wa marudiano wa...

JOHN TERRY AFUATA NYAYO ZA DAVID BECKHAM, ANUNUA KLABU YA COLCHESTER UNITED

LONDON, Uingereza BEKI na nahodha wa zamani wa klabu ya Chelsea, John Terry, ameinunua klabu ya Colchester United inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini England...
spot_img