Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...
LONDON, UingerezaMIKEL Arteta ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza katika historia ya Arsenal kuiwezesha timu hiyo kutinga mara mbili mfululizo hatua ya nusu...
LONDON, UingerezaNI miezi takribani miwili tu imebaki, kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico.
Kuelekea...
MIAMI, MarekaniKOCHA mpya wa Inter Miami, Guillermo Hoyos, amesema urafiki wake na Lionel Messi haumaanishi kuwa atamlegezea mazoezini.
Hoyos mwenye umri wa miaka 62, amekabidhiwa...
LONDON, UingerezaMSIMU huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umeingia hatua ngumu ya nusu fainali, zikiwa zimebaki timu nne zinazowania nafasi mbili za kucheza fainali.
Atletico...
LONDON, Uingereza
KUFIKIA hatua hii, ambapo Bayern Munich, Arsenal, Atletico Madrid na PSG ndizo zilizoingia nusu fainali, kuna vita ya pasi za mabao (asisti) inayoendelea.
Staa...
LONDON, Uingereza
LICHA ya Real Madrid kusukumwa nje ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mshambuliaji wake raia wa Ufaransa, Kylia Mbappe, ndiye anayeongozwa kwa kupachika mabao...