Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...
LONDON, UingerezaMABOSI wa Real Madrid wanatembea na majina ya makocha wawili, Jurgen Klopp na Mauricio Pochettino, na huenda mmoja wao akaajiriwa kuinoa timu hiyo.
Madrid...
LONDON, UingerezaARSENAL wako kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) lakini ni pointi sita pekee zinazoitenganisha na Manchester City inayoshika nafasi ya...
MERSEYSIDE, Uingereza
KLABU ya Liverpool imeanza rasmi mbio za kunasa saini ya beki wa Bournemouth, Marcos Senesi.
Taarifa za Senesi kuondoka Bournemouth zimeongezeka tangu kocha Andoni...
LONDON, UingerezaUONGOZI wa Newcastle United unaangalia uwezekano wa kumrejesha Ligi Kuu ya England kocha wa zamani wa klabu za Chelsea na Manchester United, Jose...
LONDON, UingerezaKATIKA kukusanya mkwanja wa kufanikisha usajili wa staa wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, Arsenal imepanga kuwauza Gabriel Jesus na Kai Havertz.
Arsenal wanatambua mtihani...
MUNICH, UjerumaniSTRAIKA wa Bayern Munich, Harry Kane, amekuwa mchezaji wa kwanza raia wa England kufikisha mabao 12 katika msimu mmoja wa michuano ya Ligi...