Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...
MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki Barcelona anakocheza kwa mkopo.
Rashford hajaitumikia Man...
CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha kuvaa viatu vya Robert Lewandowski.
Lewandowski raia...
LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la Kwanza England (Championship) akiwa na Leicester...
LONDON, UingerezaKLABU ya Newcastle United itampiga bei straika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Yoane Wissa, ambaye alisajiliwa kwa ada kubwa ya...
MERSEYSIDE, UingerezaLIVERPOOL imeungana na klabu zingine kubwa za Ulaya zinazomtolea macho kiungo wa Crystal Palace, Adam Wharton.
Mtandao wa talkSPORT umeripoti kuwa nyota hiyo anatarajiwa...
LONDON, UingerezaMECHI za marudiano hatua ya robo fainali ya msimu huu wa Ligi ya Europa zilimalizika usiku wa jana Aprili 16, 2026.
Hivyo, timu nne...