Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Manchester City inaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, wakati wa usajili wa kiangazi.
Kwa wiki za hivi karibuni, Muargentina...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa Burnley, Scott Parker, amekalia kuti kavu baada ya timu hiyo kufungwa bao 1-0 na Manchester City, matokeo yaliyoishusha Daraja msimu huu...
MANCHESTER, Uingereza
KATIKA ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Burnley, kiungo wa Manchester City, Bernardo Silva, ameweka rekodi ya kibabe Ligi Kuu ya England (EPL).
Man...
MANCHESTER, Uingereza
UONGOZI wa klabu ya Manchester United uko tayari kufanya lolote ili kumbakiza kiungo wake raia wa Ureno, Bruno Fernandes.
Kwa wiki za hivi karibuni,...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Chelsea inaangalia uwezekano wa kumkabidhi benchi la ufundi kiungo wao wa zamani raia wa Hispania, Cesc Fabregas.
Mabosi wa Chelsea wamemfuta kazi...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni...