Michezo Kimataifa

MIAKA SITA YA MAPENZI, DAKIKA CHACHE ZA VIPIMO NA UAMUZI MGUMU ULIOFUTA NDOTO YA HARUSI

Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...

SANDRO TONALI ATIMKIA TOTTENHAM KWA UHAMISHO WA KUDUMU

Klabu ya Newcastle United imetangaza rasmi kuondoka kwa kiungo wa Italia, Sandro Tonali, ambaye amejiunga na Tottenham Hotspur...

LEO BAPTISTAO AONGEZA MKATABA WAKE UD ALMERÍA

Klabu ya UD Almería imethibitisha kuwa mshambuliaji wa Brazil, Leo Baptistao, ataendelea kuitumikia timu hiyo baada ya kuongeza...

SEBASTIÁN ARÉ AJIUNGA NA SANFRECCE HIROSHIMA KWA MKATABA WA KUDUMU

Klabu ya Sanfrecce Hiroshima ya Ligi Kuu ya Japan (J1 League) imetangaza rasmi usajili wa mshambuliaji Sebastián Aré...

ATLÉTICO MADRID YAMKARIBISHA DILI LA KING-IN LEE KWA EURO MILIONI 40

Klabu ya Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Kang-in Lee kutoka Paris Saint-Germain (PSG) katika dirisha...
spot_img

KINDA AJAX AZIGONGANISHA ARSENAL, CHELSEA

LONDON, Uingereza KLABU za Arsenal na Chelsea zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya staa wa Ajax ya Uholanzi, Mika Godts. Godts, ambaye amepachikwa jina la...

ANTONIO CONTE ATAJWA KURUDI CHELSEA

LONDON, Uingereza HUENDA kocha raia wa Italia, Antonio Conte, akarejea kuliongoza benchi la ufundi la Chelsea lililoachwa wazi na Liam Rosenior. Conte anainoa Napoli kwa sasa...

ATLETICO YAMFUNGIA KAZI BEKI WA LIVERPOOL

MADRID, Hispania KLABU ya Atletico Madrid iko kwenye harakati za kumsajili beki wa kulia wa Liverpool na timu ya taifa ya Scotland, Andy Robertson. Atletico walijaribu...

BAYEN WAGOMA KUMBAKIZA JACKSON

MUNICH, Ujerumani BAYERN Munich wamethibitisha kuwa hawatomsajili moja kwa moja mshambuliaji wanayemtumia kwa mkopo kutoka Chelsea, Nicolas Jackson. Jackson alisajiliwa kwa mkopo mwaka jana na mkataba...

WRIGHT: RICE APEWE BALLON D’OR

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Ian Wright, amemtaja Declan Rice kuwa anastahili kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya Ballon d’Or msimu huu. Wright amesema...

LEAO AINGIA RADA ZA UNITED, LIVERPOOL

MILAN, Italia MANCHESTER United na Liverpool zimeingia kwenye ushindani mkali wa kuiwania saini ya winga wa AC Milan, Rafael Leao. Wakati huo huo, Manchester City na...
spot_img