Uncategorized

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya vigogo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City. Kwa sasa, Leicester...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...

BARCA YAPATA MRITHI WA LEWANDOWSKI

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha...

ARSENAL AKILI YOTE KWA MONGA

LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la...

NEWCASTLE KUMUUZA MSHAMBULIAJI WA BEI MBAYA

LONDON, UingerezaKLABU ya Newcastle United itampiga bei straika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Yoane Wissa,...
spot_img

YALIYOMO TIRA YAMO ACISP

RIPOTA PANORAMA TUHUMA za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka zinazidi ‘kutokota’ katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini (TIRA) huku Chuo Kikuu cha Bima...

UTATU WA KIFO CHA KANUMBA – 3

The Trinity of Steven Kanumba's Death - 3 HAMEES SUBA 0672 86 65 74 ILIPOISHIA MIONGONI mwa matukio ya hatari aliyowahi kuyafanya Kairuki ni pamoja na kujisingizia kifo...

UKOSEFU WA BIMA YA AFYA, CHANGAMOTO KWA WAATHIRIKA WA AJALI ZA BARABARANI

RAMADHANI MSANGI, RSA TANZANIA IDADI kubwa ya madereva bodaboda wanaopata ajali na kulazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) si wanachama wa huduma...

HIVI NDIVYO NINAVYOMJUA DIAMOND PLATINUMZ – 2

HAMEES SUBA IlipoishiaBAADA ya kuimba nyimbo hizo nilibaini vitu vingi kwa Diamond, kwanza alikuwa na kipaji cha muziki na dhamira ya kweli ya kupambania ndoto...

HIVI NDIVYO NINAVYOMJUA DIAMOND PLATINUMZ

Nasib Abdul (Diamond Platinumz)HAMEES SUBA NASIB Abdul, a.k.a Diamond Platinumz ni kijana mwenye mafanikio makubwa sana hapa nchini kupitia muziki. Jina lake si tu...

WAZIRI MKUU ZIARANI KOREA KUSINI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na viongozi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla hajaondoka  kwenda Korea ya...
spot_img