Uncategorized

MWENGE WAANGAZA MATUMAINI YA AJIRA KWA VIJANA MKURANGA

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Wazo Mwang’onda, amezindua mradi wa basi dogo unaoendeshwa na vijana wa kikundi cha UNAMA katika kijiji cha Picha ya Ndege,...

DKT MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI WA BARA NA VISIWANI KUJADILI MUUNGANO

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...

RAIS SAMIA AZINDUA MELI YA KWANZA YA UVUVI BAHARI KUU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Samia amezindua meli hiyo leo Aprili 25,2026 kwenye ufukwe wa Makao Makuu ya Shirika la Uvuvi nchini...

TANAPA YAZIDI KUJIIMARISHA KIUTENDAJI, YAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA WA UHIFADHI JIJINI DODOMA

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linaendelea kuimarisha mfumo wake wa uongozi na utendaji kazi kwa kuwapandisha...

JELA MIAKA 30 KWA KUPATIKANA NA BANGI

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imemhukumu Brown Frank Mwaitubi (31), mkazi wa Kajunjumele, kifungo cha miaka...
spot_img

MWANAFUNZI ALIYEPOTEA ST MARY’S APATIKANA

Labna NA MWANDISHI WETU LABNA Salim Said,  mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya St. Mary’s iliyopo Mbezi Makonde ambaye alipotea tangu Oktoba 4,...

MeTL YAZUNGUMZIA TUHUMA ZINAZOIANDAMA

 Mwenyekiti wa Kapumni za MeTL, Gulam DewjiNA MWANDISHI WETU UONGOZI wa Kampuni zilizo chini ya mwamvuli wa Mohamedi Enterprises Tanzania Limited (MeTL) umesema utatafuta...

POLISI WAACHIWA MZIGO WA KUMTAFUTA MWANAFUNZI ALIYEPOTEA ST MARY'S SEK

 Katibu Mkuu,  AkwilapoNA MWANDISHI WETU KATIBU Mkuu wa Wazara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Leonard Akwilapo amesema wajibu wa kumtafuta  mwanafunzi wa Shule ya...

MKANDARASI SOKO LA TANDALE MWIZI MDOGO MDOGO – MKURUGENZI KINONDONI

 Mkurugenzi wa Wilaya ya Kinondoni, Aron KigurumjuliNA MWANDISHI WETU MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni, Aron Kigurumjuli amesema mkandarasi aliyepewa kandarasi ya kujenga...

TANROADS NA KISA CHA NDOTO ZA KAKAKUONA KWA WATANZANIA

 Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Patrick Mfugale NA MWANDISHI WETU MAISHA ya wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa sasa yamebadilika. Miundombinu ya barabara na madaraja...

MKURUGENZI KINONDONI AANZA KUFANYA VITUKO

NA MWANDISHI WETU MKURUGENZI wa Manispaa ya Wilaya ya Kinondoni, Aron Kigurumjuli, sasa ameanza kufanya vituko kwa kuwazuia waandishi wa habari kuingia na...
spot_img