Uncategorized

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya vigogo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City. Kwa sasa, Leicester...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...

BARCA YAPATA MRITHI WA LEWANDOWSKI

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha...

ARSENAL AKILI YOTE KWA MONGA

LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la...

NEWCASTLE KUMUUZA MSHAMBULIAJI WA BEI MBAYA

LONDON, UingerezaKLABU ya Newcastle United itampiga bei straika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Yoane Wissa,...
spot_img

MURRO ATAKA MAJI YA BIL 9 NDANI YA SIKU 30

MWANDISHI MAALUMU, ARUMERU MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji katika Halmashauri ya Arusha kuukamilisha ndani ya siku 30...

KUFA KWA MAGAZETI YA NHL KWAIBUA UPYA MACHUNGU YA WANAOIDAI

RIPOTA PANORAMA - 0711 46 49 84 MATUMAINI ya waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd na awali kifahamika kwa jina la Habari...

KATIBU MKUU HAZINA ASEMA MFUMO WA KUHIFADHI DATA ZA BODI UTAONDOA CHANGAMOTO YA UTEUZI

MWANDISHI MAALUMU, MOROGORO KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurean Ndumbaro amesema kuanzishwa kwa mfumo wa kuhifadhi...

TANZANIA INA WATU THABITI AFRIKA – DK. ABBAS

RIPOTA PANORAMA - 0711 46 49 84 KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbas emesema watanzania ni watu thabiti...

SERIKALI KUANDAA TAMASHA, TUZO KUBWA ZA SANAA

RIPOTA PANORAMA SERIKALI iko mbioni kuandaa tamasha kubwa la muziki na sanaa litakalofahamika kwa jina la moja ya vivutio vikubwa vya utalii vilivyopo hapa nchini. Akizungumza...

WACHONGA VINYAGO KUPEWA ENEO UWANJA WA MKAPA

RIPOTA PANORAMA SERIKALI itawapatia eneo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, wasanii wa sanaa za uchongaji vinyago, uchoraji na sanaa nyingine za ubunifu ili wapate nafasi...
spot_img