bao pekee lililowekwa kimiani na Granit Xhaka katikati ya kipindi cha pili, limeiwezesha Arsenal kuendelea na moto wake wa kufanya vizuri katika michuano mbalimbali...
Bado ni mapema sana kwani ligi yenyewe ndio kwanza iko katika mzunguko wa 10, lakini kile kinachoendelea katika ligi hiyo hivi sasa, hususan kileleni...