SAMATA AFUNGA BAO LAKE LA KWANZA LIGI YA UFARANSA

Date:

Share post:

NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta, amefunga bao lake la kwanza katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) tangu ajiunge na klabu ya Le Havre AC.

Samatta aliipatia timu yake ya Le Havre bao dakika ya 41 katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1 dhidi ya OGC Nice.

Hata hivyo, Nice walirejea mchezoni na kusawazisha dakika ya 59 kupitia kwa mchezaji wao, Amine Gouiri.

Bao hilo linaweka rekodi muhimu kwa Samatta akiwa na Le Havre, huku likiwa chachu ya kuongeza morali kwa mshambuliaji huyo katika ligi hiyo yenye ushindani mkubwa barani Ulaya.

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...