DC KARANGA AKAGUA BARABARA ENDALA, KARATU

Date:

Share post:

MKUU wa Wilaya ya Karatu mkoani Arusha , Lameck Karanga, Aprili 10, 2026 amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya barabara katika kijiji cha Endala, sehemu ya barabara ya mzunguko inayounganisha Manyara Kibaoni, Endala na barabara ya Mbulu.

Katika ziara hiyo, amebaini changamoto ikiwemo mito inayokatiza barabara na kukosekana kwa madaraja, hali inayokwamisha mawasiliano na usafiri.

Baada ya ziara, Karanga amewahakishia wananchi kuwa serikali itashirikiana na TARURA kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa madaraja ili kuboresha miundombinu hiyo. Pia ameagiza TANESCO kushughulikia changamoto za umeme katika vijiji husika

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...