SAMIA ATANGAZA CHUO CHA KIDIJITALI, KUWEZESHA ‘STARTUPS’ ZA VIJANA

Date:

Share post:

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itajenga chuo mahiri cha kidijitali pamoja na kutenga fedha maalumu zitakazowezesha Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoa mitaji kwa kampuni changa (startups) zinazomilikiwa na vijana ili ziweze kukua na kushindana katika soko la kidijitali.

Rais Samia ameyasema hayo Aprili 10, 2026, jijini Dodoma, wakati wa uzinduzi wa minara 758 ya mawasiliano na maunganisho ya mkongo wa taifa katika wilaya 85, pamoja na kukabidhi rasmi mkongo wa mawasiliano serikalini.

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...