Saturday, 10 October 2026

RAIS SAMIA AKUTANA NA BOSI WA UNESCO NCHINI UFARANSA

RAIS Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO . Aundrey Axoulay  alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris,  Ufaransa  jana. Rais Samia alikuwa nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. (Picha kwa hisani ya mpiga picha wa Ikulu) Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi […]

RAIS Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO . Aundrey Axoulay  alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris,  Ufaransa  jana. Rais Samia alikuwa nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. (Picha kwa hisani ya mpiga picha wa Ikulu)

Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisi za UNESCO Makao Makuu, zilizopo Paris Ufaransa. (Picha ya kwa hisani ya mpiga picha wa Ikulu)

 


About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *