Tuesday, 6 October 2026

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NCHINI MAREKANI

 Rais Samia Suluhu Hasaan alipokutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina Mahomed, Jijini NewYork Marekani (Picha zote kwa hisani ya Ikulu) Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Masuala ya  Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN) inayoratibu masuala […]

 Rais Samia Suluhu Hasaan alipokutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina Mahomed, Jijini NewYork Marekani (Picha zote kwa hisani ya Ikulu)

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Masuala ya  Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN) inayoratibu masuala ya kibinadamu, Joyce Msuya, Jijini New York, Marekani.. (Picha kwa hisani ya Ikulu)

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *