Tuesday, 6 October 2026

RAIS SAMIA ALIPOKUTANA NA MEYA WA JIJI LA NEW YORK, MAREKANI

Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kuzuzungumza na Meya wa Jiji la New York, Marekani. Eric Adams Jijini Aprili 18, 2022. (Picha zote kwa hisani ya Ikulu) Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Jiji la New York, Eric Adams baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika jiji hilo Aprili 18, […]

Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kuzuzungumza na Meya wa Jiji la New York, Marekani. Eric Adams Jijini Aprili 18, 2022. (Picha zote kwa hisani ya Ikulu)

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Jiji la New York, Eric Adams baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika jiji hilo Aprili 18, 2022. (Picha kwa hisani ya Ikulu)

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na mtangazaji maarufu wa Kituo cha Televisheni cha CBS cha Marekani, Gayle King. Rais Samia alikutana na wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wakuu wa Sekta ya Habari nchini Marekani alipokuwa katika Jiji la New York, Aprili 18 , 2022.


About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *