Saturday, 22 August 2026

Mkusanyiko wa habari

BIASHARA NA UCHUMI

SURA YA BAJETI YA TANZANIA 2023/24

RIPOTA PANORAMA SURA ya Bajeti ya Serikali ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2023/24, inaonyesha kuwa mapato ya ndani yatakayokusanywa na Mamlaka ya Mapato (TRA) ni Shilingi trilioni…

2023/24 – BAJETI YA KUJITEGEMEA KWA ASILIMIA 70

RIPOTA PANORAMA TANZANIA itajitegemea kwa asilimia 70 katika bajeti yake ya mwaka wa fedha 2023/24 inayotarajiwa kuwa Shilingi trilioni 44.39. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba…

SERIKALI YATOA KAULI BENKI YAKE KUTOKAGULIWA NA CAG

RIPOTA PANORAMA SERIKALI imesema Benki ya Biashara ya DCB inayoimiliki; hesabu zake hazijapata kukaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa sababu sheria iliyokuwapo…

MIAKA 20 BENKI YA SERIKALI HAIJAKAGULIWA NA CAG

RIPOTA PANORAMA BENKI ya Biashara ya DCB ya jijini Dar es Salaam ambayo Serikali ndiye mwanahisa mkubwa ikimiliki asilimia 63 ya mtaji wote, kwa takribani miaka 20 sasa haijawahi…

SYMBION MASWALI LUKUKI

RIPOTA PANORAMA SAKATA linalotokota chini kwa chini kwa muda mrefu sasa linalohusu Kampuni ya Symbion Power LLC kulipwa na Serikali, Shilingi bilioni 350 huku ikiwa na malimbikizo ya…

TRA- HAKUNA KODI KUSAFIRISHA MAZAO YA CHAKULA NJE YA NCHI

RIPOTA PANORAMA MAMLAKA ya Mapato (TRA) imesema mazao ya chakula yanayosafirishwa kutoka nchini kwenda kuuzwa nje ya nchi hayatozwi kodi ya aina yoyote na mamlaka hiyo. Hayo yameelezwa…

DED SHARIFA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI NJOMBE

RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MAKALA MAALUMU MKOA wa Njombe upo katika kampeni ya kukuza sekta za viwanda na uwekezaji. Kampeni hiyo inakwenda kwa kasi na inaongozwa…

KANJEL MLOBA: MBOLEA NI ZIMWI LIKUJUALO…

TIMU PANORAMA 0711 46 49 84 TAIFA liko katika kampeni ya kukuza Sekta ya Kilimo na Viwanda. Serikali inafanya kila iwezalo kuimarisha ukuaji wa Sekta ya Kilimo na Viwanda kwa kuwajengea uwezo wakulima wadogo…