DET’U KAKELAKAMBUZI MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umewezesha kuachiwa kwa dhamana, Mwandishi wa Habari Kazimbaya Makwega aliyekuwa akishikiliwa Kituo cha Polisi Kati Dodoma. Taarifa iliyotolewa…
RIPOTA PANORAMA JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza tuhuma za kughushi mkataba wa ajira ilioingiwa baina ya Kampuni ya Jamhuri Media Limited na Mwandishi wa Habari, Charles…
FLORIAN KAIZA TANZANIA imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari hivyo vizazi vya sasa na vijavyo havijui na havitajua mambo mengi yaliyowahi kutokea…
ABDUL NONDO Miswada mitatu imesomwa kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wa 13 wa bunge uliomalizika Novemba, 2023 Jijini Dodoma. Miswada hiyo ni wa sheria ya uchaguzi wa…
NDIMARA TEGAMBWAGE 10 Novemba 2023 WOGA na ujinga ni tabia mbili chafu na hatari. Anayofanya Paul Makonda na matokeo yake ni ushahidi wa hili. Bwana mdogo huyu kapewa…
*Yawaomba radhi kwa ukatili iliofanya Vita ya Majimaji RIPOTA PANORAMA UJERUMANI imewaangukia watanzania ikiwaomba radhi kwa ukatili iliofanya wakati wa Vita ya Majimaji iliyopiganwa kuanzia mwaka 1905 hadi…
RIPOTA PANORAMA SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA), limetakiwa kurejesha Shilingi bilioni 1.95 ambazo ukaguzi wa matumizi yake haukuthibitika. Aliyependekeza fedha hizo zirejeshwe ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu…
RIPOTA PANORAMA SHILINGI bilioni 1.4 za mfuko wa tuzo na tozo wa Jeshi la Polisi, zimetumiwa vibaya na jeshi hilo kwa kuchepushwa na kutumiwa kwenye matumizi yasiyohusiana na…
JULIUS MUKAMBI Nairobi, Kenya KASISI Paul Mackenzie, kiongozi wa Kanisa la Good News International la Kenya, kwa miaka mingi aliongoza ibada za vifo za mamia ya waumini wake…
RIPOTA PANORAMA HALI ni mbaya katika Hospitali ya Mloganzila. Mwenendo wa utendaji kazi siyo wa kuridhisha na katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili nako hakuna usimamizi mzuri wa matengenezo ya…