Thursday, 8 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MICHEZO

JULIO ATOA SOMO KWA SIMBA

KOCHA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Jamhuri Kihwelo, ‘Julio’, ametoa wito kwa wanachama na viongozi wa klabu hiyo, kuendelea kushikamana pamoja, wakati wakijiandaa na msimu mpya…

YANGA YATAJWA KUSAJILI WAKALI WATANO

Beki wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Bakari Malima, ‘Jembe Ulaya’, amesema klabu yake inatakiwa kusajili wachezaji wapya watano kwa ajili ya msimu ijayo wa Ligi Kuu…

KIGWANGALLA ABEZA BIL. 6 ZA USAJILI SIMBA

RIPOTA PANORAMA MBUNGE wa Nzega vijijini na shabiki mkubwa wa timu ya Simba amebeza usajili wa matumizi makubwa ya fedha za mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji…

PELE KUZIKWA JUMANNE NYUMBANI KWAKE SANTOS

MASHIRIKA YA HABARI MWILI wa mcheza soka wa karne na mfalme wa kabumbu duniani, Edson Arantes do Nascemento – Pele unatarajiwa kuzikwa kaburini siku ya Jumanne, Januari 3,…

PELE AFA AKIACHA MAMBO MATANO YASIYOFAHAMIKA

MCHEZA soka bora wa karne wa FIFA na gwiji wa kabumbu wa Brazil, Edson Arantes Do Nascimento – Pele, aliyefariki dunia Disemba 29, 2022 akiwa na umri wa…

RONALDO ATUA AL NASSR

RIPOTA PANORAMA NAHODHA wa Timu ya Soka ya Ureno, Cristian Ronaldo amesajiliwa na timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia ambako atakuwa anaweka kibindoni kitita cha Euro milioni…

HIVYO NDIVYO NINAVYOMJUA DIAMOND PLATINUMZ -3

HAMEES SUBA ILIPOISHIA NILIHOFIA kuwauliza wafanyakazi wenzangu waliokuwa wamefika ofisini kwa sababu sikutaka mtu yeyote ajue kinachoendelea kati yangu na Diamond. Nilitoka nje nikaenda kusimama kwenye ngazi inayotokea…

SIMBA QUEENS YATAFUNA NYATI JIKE WA KIJANI WA ZAMBIA

RIPOTA PANORAMA TIMU ya soka ya wanawake wa Simba, Sinba Queens jana ilifanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya kuichakaza bila huruma…