PSG YAILAZA BAYERN MUNICH BAO 5-4 FAINALI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Klabu ya Paris Saint‑Germain ya Ufaransa imeipiga Bayern Munich ya Ujerumani 5-4 katika raundi ya kwanza ya mchezo wao wa Nusu Fainali, Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hata hivyo…
Mkusanyiko wa habari
Klabu ya Paris Saint‑Germain ya Ufaransa imeipiga Bayern Munich ya Ujerumani 5-4 katika raundi ya kwanza ya mchezo wao wa Nusu Fainali, Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hata hivyo…
Tasnia ya burudani nchini Tanzania imekumbwa na majonzi kufuatia kifo cha mwigizaji na aliyekuwa mchezaji wa zamani wa soka wa klabu ya Young Africans, Marehemu Hashim Kambi. Taarifa…
CATALUNYA, Hispania KOCHA wa zamani wa Barcelona, Xavi, amefichua kuwa alikaribia kumrejesha Lionel Messi lakini Rais wa klabu hiyo, Joan Laporta, alikataa mpango huo. Xavi anazungumzia mwaka 2023,…
LONDON, Uingereza KLABU za Arsenal na Chelsea zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya staa wa Ajax ya Uholanzi, Mika Godts. Godts, ambaye amepachikwa jina la ‘Eden Hazard…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametangaza kuanza kwa maboresho makubwa katika Uwanja wa Benjamin…
LONDON, Uingereza HUENDA kocha raia wa Italia, Antonio Conte, akarejea kuliongoza benchi la ufundi la Chelsea lililoachwa wazi na Liam Rosenior. Conte anainoa Napoli kwa sasa lakini zipo…
MADRID, Hispania KLABU ya Atletico Madrid iko kwenye harakati za kumsajili beki wa kulia wa Liverpool na timu ya taifa ya Scotland, Andy Robertson. Atletico walijaribu bila mafanikio…
MUNICH, Ujerumani BAYERN Munich wamethibitisha kuwa hawatomsajili moja kwa moja mshambuliaji wanayemtumia kwa mkopo kutoka Chelsea, Nicolas Jackson. Jackson alisajiliwa kwa mkopo mwaka jana na mkataba wake ulikuwa…
LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal, Ian Wright, amemtaja Declan Rice kuwa anastahili kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya Ballon d’Or msimu huu. Wright amesema endapo Arsenal…
MILAN, Italia MANCHESTER United na Liverpool zimeingia kwenye ushindani mkali wa kuiwania saini ya winga wa AC Milan, Rafael Leao. Wakati huo huo, Manchester City na Real Madrid…