MUNICH, Ujerumani
JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga).
Eta mwenye umri wa miaka...
SEKTA ya Utalii Tanzania imeng’ara katika viwango vya kimataifa kwa ongezeko la watalii na mapato yatokanayo na sekta hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika...
RIPOTA MAALUMU
REKODI ya viumbe hai wenye kasi zaidi duniani inashikiliwa na ndege, wakifuatiwa na samaki na mwisho ni viumbe hai watembeao ardhini
Kwa mujibu...
RIPOTA MAALUMU
WANASAYANSI duniani wamegundua wanyamapori wa ajabu kwenye Bonde la Kongo.
Pia wamegundua aina mbalimbali za mimea zilizostawi kwenye bonde hilo katika kipindi cha miaka...
MAKALA YA MTANGAZAJI
MWENENDO wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) sasa ni wa mchakamchaka, idadi ya watalii waliotembelea Hifadhi za Taifa imeongezeka kwa asilimia...
RIPOTA WA WHMTH
Arusha
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, yameanza kutoa Anwani za Makazi katika kambi, makazi,...
RIPOTA PANORAMA
PORI la Hifadhi ya Wanyamapori la Simanjiro limevamiwa na kundi la wanaodaiwa kuwa ni majangili wa kiarabu wanaowinda na kuua kwa fujo wanyamapori,...