Habari Kimataifa

FEISAL SALUM NA SIMULIZI YA KUHUZUNISHA: BABA YAKE HAJAWAHI KUMSHUHUDIA AKIWA UWANJANI

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

PAPA BENEDICTO XVI KUTOKA 1927 HADI 2022

MASHIRIKA YA HABARI VATICAN Kardinali Joseph Aloisius Ratzinger ambaye ndiye Papa Benedicto wa XVI, ameumaliza mwendo, amepigana vita vilivyo vizuri, imani ameilinda. Papa Mstaafu Benedicto XVI aliyekuwa...

KENYA AIRWAYS LASHINDWA KULIPA DENI LA Sh1.9 TRILIONI

RIPOTA PANORAMA WAKATI Shirika la Ndege la Kenya likiendelea kujiimarisha kwenye uwekezaji na kuongeza idadi ya ndege, taarifa kutoka Ofisi ya Hazina ya Taifa hilo...

151 WAFARIKI KATIKA SHEREHE KOREA KUSINI

SEOUL, KOREA KUSINI WATU 151wamefariki dunia katika mkanyagano uliotokea wakati wa sherehe za Halloween mjini Seoul, Korea Kusini. Vifo hivyo vimetokea Jumamosi Oktoba 29, 2022 usiku...

DRC YAMFUKUZA BALOZI WA RWANDA

CONGO, DRC JAMHURIi ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemfukuza balozi wa Rwanda nchini humo, Vincent Karega huku ikimpa saa 48 kuondoka nchini humo. Hatua hiyo inakuja...

MILIPUKO MIWILI YATIKISA MOGADISHU

MOGADISHU, SOMALIA MJI mkuu wa Somalia Mogadishu umekumbwa na milipuko miwili mchana huu. Moshi mweupe unaweza kuonekana ukifuka karibu na ofisi za Wizara ya Mambo ya...

SHAMBULIZI LA NDEGE ZISIZO NA RUBANI BAHARI NYEUS

MOSCOW, URUSI URUSI imeishutumu Ukraine kwa kufanya shambulizi "kubwa" la ndege zisizo na rubani kwenye makao makuu ya Meli zake katika Bahari Nyeusi mji wa...
spot_img