MTIHANI MZITO TRA
RIPOTA PANORAMA MAMLAKA ya Mapato (TRA) jana ilijikuta katika mtihani mzito wa kutoa ufafanuzi wa majibu ya maswali sita iliyoulizwa na Tanzania PANORAMA Blog kuhusu masuala ya kikodi…
Mkusanyiko wa habari
RIPOTA PANORAMA MAMLAKA ya Mapato (TRA) jana ilijikuta katika mtihani mzito wa kutoa ufafanuzi wa majibu ya maswali sita iliyoulizwa na Tanzania PANORAMA Blog kuhusu masuala ya kikodi…
RIPOTA PANORAMA IMEELEZWA kuwa skandari ya kuporwa kwa ardhi na mali za umma na kutumika kuchukua mkopo wa mabilioni ya Shilingi katika benki mbili kubwa za hapa nchini…
RIPOTA PANORAMA WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameitupia ‘mzigo’ Ofisi ya Msajili wa Hazina skandari kuhusu kuporwa kwa ardhi na mali za umma na kutumika…
RIPOTA WA WAZIRI MKUU SERIKALI imewaruhusu wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 lakini hawajapangiwa kupata mikopo kwenda vyuoni kujisajili chini…
RIPOTA PANORAMA, ARUSHA RUBANI Mstaafu wa Shirika la Ndege la India, Dennis Masha Wekesa anakusudia kuiburuza mahakamani Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya jumuiya hiyo kukataa kumkabidhi…
RIPOTA PANORAMA SAKATA linalotokota chini kwa chini kwa muda mrefu sasa linalohusu Kampuni ya Symbion Power LLC kulipwa na Serikali, Shilingi bilioni 350 huku ikiwa na malimbikizo ya…
RIPOTA PANORAMA MAMLAKA ya Mapato (TRA) imesema mazao ya chakula yanayosafirishwa kutoka nchini kwenda kuuzwa nje ya nchi hayatozwi kodi ya aina yoyote na mamlaka hiyo. Hayo yameelezwa…
RIPOTA PANORAMA MIILI ya watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Precision Air iliyotumbukia Ziwa Victoria jana asubuhi inatarajiwa kuagwa leo katika…
RIPOTA PANORAMA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amewataka wakazi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za utalii kufuatia Kongamano la Kimataifa la Utalii litakalofanyika katika viwanja vya…
RIPOTA PANORAMA RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania watakaopata fursa za ajira katika ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini hapa kuepuka udokozi. Rais Samia…