REAL MADRID KUJA NA JEZI MPYA MSIMU UJAO WA LA LIGA
Klabu ya soka ya Real Madrid imezindua rasmi jezi yake ya nyumbani kwa msimu wa 2026/2027.Katika ujumbe wao wa utambulisho wa jezi hiyo, klabu imeeleza kuwa urembo na…
Mkusanyiko wa habari
Klabu ya soka ya Real Madrid imezindua rasmi jezi yake ya nyumbani kwa msimu wa 2026/2027.Katika ujumbe wao wa utambulisho wa jezi hiyo, klabu imeeleza kuwa urembo na…
Klabu ya Liverpool F.C. inatarajiwa kumtangaza rasmi Andoni Iraola kuwa kocha wake mpya baada ya kufikia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili utakaodumu hadi Juni 2028.Kwa mujibu wa…
Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA) imeamsha kumbukumbu za mashabiki wake kuelekea mchezo wa kwanza wa Fainali za NBA kwa kuangazia baadhi ya viwanja vya kihistoria…
Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa Atalanta, Ederson, katika dirisha la usajili la majira ya joto.Kwa mujibu wa taarifa hizo, United italipa euro milioni…
Klabu ya Bayern Munich imepiga hatua kubwa katika harakati za kumsajili kiungo mshambuliaji wa PSV Eindhoven, Ismael Saibari, baada ya kufikia makubaliano ya awali kuhusu masuala binafsi ya…
Ndoto ya Serengeti Boys kutwaa taji lao la kwanza la Afrika imegonga mwamba baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-2 na Senegal katika fainali ya Kombe la…
Klabu ya Real Madrid imefikia hatua ya mwisho katika harakati za kumsajili beki wa kulia Denzel Dumfries kutoka Inter Milan, kulingana na taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.…
Timu ya taifa ya Mali, maarufu kama Les Aigles du Mali (Tai wa Mali), imeanza rasmi maandalizi yake kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Iran utakaochezwa…
Klabu ya Tottenham Hotspur imepiga hatua kubwa katika harakati za kumsajili Sávio Moreira de Oliveira kutoka Manchester City wakati wa dirisha hili la usajili.Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa…
Taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya NFL zinaeleza kuwa timu ya Cleveland Browns ipo karibu kukamilisha makubaliano ya kumhamisha nyota wake wa safu ya ulinzi, Myles Garrett, kwenda…