Michezo Kimataifa

MIAKA SITA YA MAPENZI, DAKIKA CHACHE ZA VIPIMO NA UAMUZI MGUMU ULIOFUTA NDOTO YA HARUSI

Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...

SANDRO TONALI ATIMKIA TOTTENHAM KWA UHAMISHO WA KUDUMU

Klabu ya Newcastle United imetangaza rasmi kuondoka kwa kiungo wa Italia, Sandro Tonali, ambaye amejiunga na Tottenham Hotspur...

LEO BAPTISTAO AONGEZA MKATABA WAKE UD ALMERÍA

Klabu ya UD Almería imethibitisha kuwa mshambuliaji wa Brazil, Leo Baptistao, ataendelea kuitumikia timu hiyo baada ya kuongeza...

SEBASTIÁN ARÉ AJIUNGA NA SANFRECCE HIROSHIMA KWA MKATABA WA KUDUMU

Klabu ya Sanfrecce Hiroshima ya Ligi Kuu ya Japan (J1 League) imetangaza rasmi usajili wa mshambuliaji Sebastián Aré...

ATLÉTICO MADRID YAMKARIBISHA DILI LA KING-IN LEE KWA EURO MILIONI 40

Klabu ya Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji Kang-in Lee kutoka Paris Saint-Germain (PSG) katika dirisha...
spot_img

KIPCHOGE ASIKITIKA TOTTENHAM KUKARIBIA KUSHUKA DARAJA

CAPE TOWN, Afrika Kusini MWANARIADHA wa mbio ndefu raia wa Kenya, Eliud Kipchoge, ameeleza kuumizwa kwake na kitendo cha Tottenham kuwa hatarini kushuka daraja msimu...

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu...

PANGA PANGUA YA MAKOCHA EPL MSIMU UJAO

LONDON, UingerezaBAADA ya Andoni Iraola kutangaza kuwa ataondoka Bournemouth, ameingia kwenye orodha ya makocha wa Ligi Kuu ya England (EPL) wanaoweza kuziacha klabu zao...

LAMPARD KUPEWA KIBARUA BOURNEMOUTH?

LONDON, UingerezaZIPO taarifa kuwa kocha wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard, aanawindwa na mabosi wa klabu ya Bournemouth ya Ligi Kuu ya England (EPL). Bournemouth...

PSG YAMWACHIA ‘MSALA’ KOCHA WA LIVERPOOL

MERSEYSIDE, UingerezaKICHAPO cha mabao 2-0 kutoka kwa PSG kimeongeza presha kwa kocha wa Liverpool, Arne Slot, ikielezwa kuwa huenda Mholanzi huyo akafungashiwa virago hivi...

YAMAL AVUNJA REKODI MBILI USIKU WA ULAYA

MADRID, Hispania LICHA ya Barcelona kung'olewa Ligi ya Mabingwa Ulaya, kinda wake wa safu ya ushambuliaji, Lamine Yamal, ameitumia mechi yao dhidi ya Atletico Madrid...
spot_img