Wednesday, 7 October 2026

Mkusanyiko wa habari

Michezo Kimataifa

ALIYEITUNGUA ARSENAL AWINDWA MAN UNITED

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United inampigia hesabu kali kiungo wa Southampton, Shea Charles. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22, ndiye aliyefunga bao la ushindi wakati Southampton…

ATLETICO MADRID YAVUNJA MWIKO CAMP NOU

CATALUNYA, Hispania KWA ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Barcelona, Atletico Madrid ya kocha Diego Simeone imefuta ‘mkosi’ ulioiandama kwa miaka 20. Katika mchezo wa jana Aprili 8,…

RIVER PLATE WAMVUTIA KAZI GARNACHO

LONDON, Uingereza WINGA wa Chelsea, Alejandro Garnacho, ameingia kwenye rada za klabu kongwe ya Argentina, River Plate. Ni mwaka mmoja sasa tangu Muargentina huyo mwenye umri wa miaka…

DORTMUND YAMPAMBANIA NA SANCHO

MUNICH, Ujerumani KLABU ya Borussia Dortmund inajaribu kumrejesha kiungo wake wa zamani, Jadon Sancho. Sancho aliondoka Dortmund mwaka 2021 na kutua Manchester United kwa ada ya Pauni milioni…

MOTSEPE: CAF ICHUNGUZWE TUHUMA ZA RUSHWA

CAIRO, Misri RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amesema yuko tayari kuruhusu Taasisi hiyo kuchunguzwa juu ya tuhuma za rushwa. Motsepe ameyasema hayo alipokutana na…

TYSON FURY ATANGAZA KUMTAKA JOSHUA

LONDON, Uingereza BONDIA wa ngumi za uzito wa juu duniani, Tyson Fury, ameeleza kiu yake ya kuzichapa na Muingereza mwenzake, Anthony Joshua. Fury amesema anatamani kurushiana makonde na…

KIGOGO CAF APONDA MOROCCO KUPEWA UBINGWA AFCON 2025

CAIRO, Misri MAKAMU wa Rais wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Faustino Varela Monteiro, ameibuka na kusema haungi mkono uamuzi wa kuipa Morocco taji…