Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala mpana...
MADRID, HispaniaKOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho, amesema kwa sasa akili yake iko Benfica na si Real Madrid anayohusishwa nayo.
Madrid inatajwa kumtaka Mourinho ili...
LONDON, UingerezaKIUNGO wa zamani wa Chelsea, Emmanuel Petit, ameishauri klabu hiyo kumsajili mpachikaji mabao wa Galatasaray raia wa Nigeria, Victor Osimhen.
Chelsea imekuwa haina bahati...
MUNICH, UjerumaniMABOSI wa klabu ya Bayern Munich hawafikirii kumsajili mshambuliaji wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Barcelona, Marcus Rashford.
Rashford (28), amekuwa na kiwango bora...
MADRID, HispaniaKWA sasa, Real Madrid inahusishwa na usajili wa beki wa kati katika dirish kubwa la kiangazi, mwishoni mwa msimu huu.
Uhitaji huo unatokana na...
CATALUNYA, Hispania
KOCHA wa zamani wa Barcelona, Xavi, amefichua kuwa alikaribia kumrejesha Lionel Messi lakini Rais wa klabu hiyo, Joan Laporta, alikataa mpango huo.
Xavi anazungumzia...