Uncategorized

MAREKANI, CUBA: MZOZO MWINGINE UNAOSUBIRI KUITIKISA DUNIA

HAVANA, CubaRAIS wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, hajaonesha unyonge, licha ya Taifa lake kuendelea kupewa presha kubwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Rais Trump amenukuliwa mara kadhaa akitishia kuivamia Cuba,...

LINDI YAIMARISHA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA WASH KUBORESHA AFYA ZA WANANCHI

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Zuwena Omary, amesema mkoa huo unaendelea kunufaika na utekelezaji wa afua...

WAZIRI MKUU AWASILI ARUSHA KWA ZIARA YAKE YA KIKAZI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewasili mkoani Arusha kwa ziara...

BARAZA LA MADIWANI MTAMA LAKUTANA, LAPONGEZA MAFANIKIO YA MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama limefanya kikao chake cha robo ya tatu kwa mwaka...

VIONGOZI LONGIDO WATAKIWA KUHARAKISHA UANZISHAJI WA JUHIZINA

Viongozi wa vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido wametakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wa mchakato wa kuanzisha...
spot_img

MAWIO YACHOMOZA BANDARI YA TANGA

MAKALA YA MTANGAZAJI NIMEKUTANA na kufanya mahojiano ya ana kwa ana na Meneja wa Bandari ya Tanga, Masoud Athuman Mrisha kuhusu mwenendo wa shughuli za...

JESHI LA POLISI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA RSA TANZANIA KUIMARISHA USALAMA BARABARANI

Jeshi la Polisi nchini limesema linatambua mchango mkubwa unaotolewa na asasi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani (RSA) Tanzania katika kuimarisha usalama barabarani huku likiahidi...

NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI ANA DOA LA RUSHWA, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA

RIPOTI MAALUMU (1) CHARLES MULLINDA NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Pastory Mnyeti ana doa la rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, kukiuka misingi ya utawala...

NHIF HAITASIMAMA KWA MABADILIKO YA BEI YA KITITA – PST

RIPOTA PANORAMA CHAMA cha Wafamasia Tanzania (PST), kimeeleza kuwa mabadiliko ya bei ya kitita cha Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), hayataiwezesha kusimama imara. PST kimeeleza...

TPC YATENGA BILIONI 1.4 KURUDISHA KWA JAMII

RIPOTA PANORAMA - Kilimanjaro  KIWANDA cha Sukari cha TPC kilichopo Mkoa wa Kilimanjaro, kimetenga Shilingi bilioni 1.4 kusaidia maendeleo ya jamii. Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu...

THRDC, UDSoL WAANDAA MDAHALO WA HAKI ZA BINADAMU

RIPOTA PANORAMA MIAKA 75 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu (UDHR) inatarajiwa kuazimishwa kwa mdahalo wa kitaifa wa kutafakari ukuaji na hali ya...
spot_img