Uncategorized

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya vigogo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City. Kwa sasa, Leicester...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...

BARCA YAPATA MRITHI WA LEWANDOWSKI

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha...

ARSENAL AKILI YOTE KWA MONGA

LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la...

NEWCASTLE KUMUUZA MSHAMBULIAJI WA BEI MBAYA

LONDON, UingerezaKLABU ya Newcastle United itampiga bei straika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Yoane Wissa,...
spot_img

NDEGE ZA SERIKALI ZATENGEWA BILIONI 11

WAKALA wa Ndege za Serikali (TGFA) imetengewa Shilingi bilioni 11.4 kwa ajili ya kuboresha huduma zake. Akizungumza na Menejimenti ya TGFA jana wakati wa ziara...

KAKONKO WAOMBA WATAALAM WA MIAMBA

RIPOTA PANORAMA Wananchi wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wameiomba Serikali isaidie kuwapatia wataalam wa miamba watakaotafiti na kubainisha kiasi cha madini yaliyogundulika katika maeneo...

NYONGO ATAKA MADINI YA NICKEL YAONGEZEWE THAMANI NCHINI

RIPOTA PANORAMA NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema Serika itaboresha mazingira ya uwekezaji wa Madini ya Nickel yanayopatikana Wiaya ya Ngara mkoani Kagera ili...

ZITTO ‘AACHIWA NYUMBA’

RIPOTA PANORAMA WAASISI wawili wa Chama cha ACT- Wazelendo na viongozi waandamizi kumi wamekipa kisogo chama hicho wakikiacha mikononi mwa Kiongozi Mkuu, Zitto Kabwe wanayemtuhumu...

ORODHA YA WATANZANIA WAUZA UNGA WALIONYONGWA NA KUFUNGWA MAISHA

RIPOTA PANORAMA WATANZANIA 14 waliokamatwa na madawa ya kulevya katika nchi mbalimbali duniani wamenyongwa hadi kufa. Sambamba na hao, Watanzania wengine 12 waliokamatwa kwa makosa ya...

Wizara yaridhishwa uzalishaji mbegu za mazao Missenyi

TAASISI tatu zilizoko chini ya Wizara ya Kilimo, zimeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Kampuni ya Global Agency katika kuhakikisha inazalisha mbegu bora za mahindi,...
spot_img