Google search engine

MICHEZO

YANGA VS SIMBA NI DERBY YA HESHIMA NA UBABE

MWANDISHI WETU ZANZIBAR: MSEMAO wa  'mtani hutoki leo' umekuwa maarufu nje ya Uwanja wa Amani, Visiwani Zanzibar ambapo mashabiki mbalimbali wa Yanga na Simba wamekuwa wakitumia msemo huo kila walipotambiana kabla...

MWANAFUNZI AFARIKI AKICHEZA MPIRA

TANGA MWANAFUNZI wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Chief Mang'enya iliyopo Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, Abdallah Msenga amefariki dunia baada ya kugongana...

SIMBA KUFANYA USAJILI WA KIMKAKATI

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umepanga kufanya usajili wa wachezaji wapya kwa kimkakati ili waweze kutimiza ndoto yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi...

YANGA YAIWAHI SIMBA KWA MUDATHIR ASAINI

SIMBA wameambulia patupu, baada ya kiungo wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, Yahaya Mudathir, kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea...

KOCHA ALIYEKUFUZWA YANGA, AOMBA KURUDI

KOCHA mkuu wa zamani wa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet, ni miongoni mwa makocha watano walioomba kibarua cha kuifundisha timu hiyo, kwa ajili ya msimu...

UBINGWA WA WAVU KUANZA KUSAKWA JULAI 25

MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi ya Taifa ya Mpira wa Wavu unatarajiwa kuanza Julai 25, mwaka huu, kwenye viwanja wa Mwembe Yanga, Temeke, jijini...

KIKOSI CHA KUOGELEA CHATAJWA HADHARANI

KIKOSI cha Tanzania cha Kuogelea kimetajwa hadharani kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'Africa Acquatics', Kanda ya 3, iliyopangwa kufanyika Oktoba 16-19, mwaka...

TWIGA STARS YAPIGWA WAFCON

Bao la kiungo mshambuliaji wa Mali, Saratou Traore, lilitosha kuipa ushindi dhidi ya kikosi cha wanawake wa Tanzania, 'Twiga Stars' katika michezo wa michuano...

MTIBWA SUGAR KULETA KOCHA MPYA

UONGOZI wa klabu ya Mtibwa Sugar, umesema unatarajia kumwajiri kocha mkuu mpya ili aweze kukifundisha kikosi chao cha msimu ujao. Mtibwa Sugar wamerejea Ligi...

OKWI AIBUKA USAJILI MPYA SIMBA

MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Simba, Mganda Emmanuel Okwi, amemuibua beki wa kikosi hicho, Fikiri Magoso, baada ya kumtaja katika...

TWIGA STARS,MALI KAZI MOJA

Timu ya Tanzania ya Wanawake 'Twiga Stars' leo inatarajia kushuka uwanjani kumenyana na Mali ukiwa ni mchezo wa kwanza wa kuwania ubingwa Afrika (WAFCON)...