NA JOSEPH SHALUWA
Email: joeshaluwa@gmail.com
Simu: 0718-400146
Facebook @Joseph Shaluwa
Instagram @joeshaluwa
HANA haraka anapotembea, ukimtazama anaonekana kujiamini sana. Tabasamu mwanana linaupamba uso wake lakini mavazi yake yanaonesha...
Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti
KUKITWA ni kukitwa na kukita ni kukita. Kukita na kukitwa sasa ni fasheni, mikito imekuwa sehemu ya maisha.
Imekuwa kita nikukite, umekuwa...
Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti
MIKITO ni kukita na kukita ni kukitwa. Huo ndiyo mwenendo wetu watanzania wa zama hizi za bora liende.
Kila mahali ni mikito,...
Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti
NIMEKUTANA wa Wazulu, nimekutana nao nchini kwao huku bondeni kwa mzee Madiba. Lakini mzee Madiba anaumwa sana, tumuombee.
Wazulu, kama walivyo waafrika...
Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti
NAPE Moses Nnauye, mwanasiasa kijana aliyepachikwa jina la utani la Kitatange, katika ukitatange wake amekuwa akimkita kwa staili wa kumbembeleza bosi...
Na Simba Gembagu Ng’wana Njamiti Kila nikikita ninakitwa. Popote ninapokita napokewa na mikito. Napokewa na mikito halisi ya kitanzania inayonikita. Ninakita ili...