MAKAMU WA RAIS WA UAE AWASILI CHINA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI

Date:

Share post:

MAKAMU wa Rais na Mrithi wa Kiti cha Enzi cha Abu Dhabi, Sheikh Khalid bin Mohammed bin Zayed Al Nahyan, amewasili jijini Beijing nchini China kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na China.

Sheikh Khalid amepokelewa na viongozi waandamizi wa China, ambao walifanya mazungumzo ya awali yaliyojikita katika kukuza ushirikiano wa pande mbili, hasa katika sekta za biashara, uwekezaji na maendeleo ya uchumi.

Ziara hiyo inalenga kufungua fursa mpya za kiuchumi kwa mataifa hayo mawili, sambamba na kuongeza uwekezaji unaoendana na mabadiliko ya uchumi wa dunia na mwenendo wa masoko ya kimataifa.
Imeandaliwa na Razaki Mkuluma

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...