MWENGE WA UHURU WA WASILI JIJINI DAR ES SALAAM.

Date:

Share post:

Mwenge wa Uhuru umewasili Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Aprili 2026, ukitokea Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo Mapokezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere – Terminal 1.

Mwenge wa Uhuru unaendelea na mbio zake za mwaka 2026, ambapo katika Mkoa wa Dar es Salaam unatarajiwa kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi.

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...