MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA 17 CHA MAAFISA HABARI WA SERIKALI

Date:

Share post:

 

Maafisa Habari wa Serikali wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao cha 17 cha maafisa habari wa Serikali iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye. Kikao hicho cha siku tano kinafanyika mkoaniTanga.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza jana wakati akifungua kikao kazi cha siku tano cha maafisa hao kinachofanyikia mkoaniTanga. Kikao kicho kimeanza jana.

 

Mwenyekiti wa maafisa habari wa Serikali, Pascal Shelutete akizungumza jana wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha 17 cha maafisa habari wa Serikali kilichoanza jana mkoani Tanga.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima akizungumza jana wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha 17 cha maafisa habari wa Serikali kinachofanyika kwa siku tano. Kikao hichoo kinachofanyikia mkoani Tanga.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Katibu Mkuu wake, Dk. Jummy Yonazi, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa habari wa Serikali wanaoshiriki kikao kazi cha 17 kilichoanza jana mkoani Tanga.

Maafisa habari wa Serikali wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ya kikao kazi cha 17 iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloia ya Habari, Nape Nnauye jana. Kikao hicho kinafanyikia mkoani Tanga.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

MAREKANI, CUBA: MZOZO MWINGINE UNAOSUBIRI KUITIKISA DUNIA

HAVANA, CubaRAIS wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, hajaonesha unyonge, licha ya Taifa lake kuendelea kupewa presha kubwa na Rais...

LINDI YAIMARISHA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA WASH KUBORESHA AFYA ZA WANANCHI

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Zuwena Omary, amesema mkoa huo unaendelea kunufaika na utekelezaji wa afua...

WAZIRI MKUU AWASILI ARUSHA KWA ZIARA YAKE YA KIKAZI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewasili mkoani Arusha kwa ziara...

BARAZA LA MADIWANI MTAMA LAKUTANA, LAPONGEZA MAFANIKIO YA MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama limefanya kikao chake cha robo ya tatu kwa mwaka...