Rais wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026 kuanzia saa 5 asubuhi.
Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo amesema tukio hilo linalenga kuimarisha ushirikiano na udugu kati ya Tanzania na Kenya.