ULEGA APOKEA TAARIFA YA WASHINDI SHINDANO LA KUPUNGUZA FOLENI MIJINI

Date:

Share post:

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amepokea taarifa ya washindi wa shindano la “Ubunifu kwa Wanafunzi Challenge” linalohusu namna ya kupunguza tatizo la msongamano wa magari mijini. Taarifa hiyo imewasilishwa tarehe 28 Aprili 2026, katika Ofisi za Wizara ya ujenzi na uchukuzi Jijini Dodoma.

Ikumbukwe kuwa lengo la shindano hilo ni kuwahamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu kuoanisha masomo ya kihandisi na uhalisia wa changamoto zinazoikumba jamii, hususan katika miji mikubwa inayokumbwa na tatizo la foleni.

Takribani maandiko 561 kutoka vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi yalipokelewa na kufanyiwa kazi na Kamati maalum ya shindano hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SERIKALI YAIMARISHA USAMBAZAJI WA CHANJO IKIZINDUA BOTI 7 ZA BILION1.1

Serikali imeendelea kuimarisha huduma za chanjo nchini kupitia uzinduzi wa boti saba zenye thamani ya shilingi Bilioni 1.1...

VYOMBO VYA HABARI NCHINI VYA TAJWA KUWA NGUZO YA KULINDA MAADILI YA MTANZANIA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali inavitegemea kwa kiasi kikubwa vyombo vya habari...

HANDENI KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA KUPITIA UGAWAJI WA VYANDARUA BURE

Katika kuendeleza jitihada za kupambana na ugonjwa wa malaria nchini, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwa kushirikiana na...

UZALISHAJI NA UINGIZAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI WAPUNGUA KWA ASILIMIA 95%

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Reuben Kwagilwa bungeni jijini...