MTU MMOJA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MTOTO WA MIEZI 8 JIJINI ARUSHA

Date:

Share post:

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja, mkazi wa eneo la Sinoni jijini Arusha, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi nane.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Justine Masejo, amesema tukio hilo lilitokea Aprili 28, 2026, majira ya jioni katika eneo la Sinoni.

Adha Ameongeza kuwa mtuhumiwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi huku uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea, ikiwemo kubaini chanzo na mazingira ya tukio hilo.

Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alitenda tukio hilo kwa kumchinja mtoto huyo shingoni na kusababisha kifo chake papo hapo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

SERIKALI YAIMARISHA USAMBAZAJI WA CHANJO IKIZINDUA BOTI 7 ZA BILION1.1

Serikali imeendelea kuimarisha huduma za chanjo nchini kupitia uzinduzi wa boti saba zenye thamani ya shilingi Bilioni 1.1...

VYOMBO VYA HABARI NCHINI VYA TAJWA KUWA NGUZO YA KULINDA MAADILI YA MTANZANIA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali inavitegemea kwa kiasi kikubwa vyombo vya habari...

HANDENI KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA KUPITIA UGAWAJI WA VYANDARUA BURE

Katika kuendeleza jitihada za kupambana na ugonjwa wa malaria nchini, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni kwa kushirikiana na...

UZALISHAJI NA UINGIZAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI WAPUNGUA KWA ASILIMIA 95%

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Reuben Kwagilwa bungeni jijini...