Wednesday, 7 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MAKALA

SAME UTALII FESTIVAL YAVUTIA WAGENI HIFADHI YA MKOMAZI

Zaidi ya watalii wa ndani 90 wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi kwa lengo la kujionea vivutio mbalimbali na kufurahia utalii wa ndani, kufuatia uzinduzi wa tamasha la…

NCHI ZINAZOTEGEMEA ZAIDI SEKTA YA UTALII DUNIANI

NEW YORK, Marekani UTALII ni miongoni mwa sekta muhimu zaidi duniani, ikitajwa kuchangia takribani Dola za Marekani trilioni 11.7 kwenye Pato la Dunia kwa mwaka 2025 pekee. Sekta…

MAREKANI V IRAN: NINI HATIMA BAADA YA KUKOSEKANA SULUHU?

PANDE zote mbili zinatupiana lawama, kila moja ikiitaja nyingine kukwamisha upatikanaji wa suluhu katika mazungumzo ya amani yaliyofanyika mjini Islamabad, Pakistan. Wawakilishi wa Marekani na Israel walikutana Pakistan…

NINI CHANZO ‘UADUI’ WA AFRIKA KUSINI, MAREKANI?

LOS ANGELES, Marekani HIVI karibuni, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, alitoa kauli tata aliposema kwa sasa dunia inaendeshwa kidikteta. Kwa wafuatiliaji wa siasa za kimataifa, kauli hiyo…

VITONGOJI 15 VYANUFAIKA NA UMEME WA REA NAMTUMBO

WANANCHI  wa vitongoji 15 katika Jimbo la Namtumbo, mkoani Ruvuma, wameanza kunufaika na huduma ya umeme baada ya kukamilika kwa mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Uzinduzi…

KINACHOENDELEA MKUTANO WA AMANI KATI YA MAREKANI, IRAN

ISLAMABAD, Pakistan PAKISTAN ndiyo mwenyeji wa mazungumzo ya kutafuta suluhu katika mgogoro unaoendelea kati ya Iran na Marekani inayoshirikiana na Israel. Mazungumzo hayo yaliyotanguliwa na makubaliano ya kusitisha…

HANDENI WAKUTANA KUJIPANGA KUPOKEA MWENGE WA UHURU

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese, amefanya kikao maalum cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2026, kikilenga kujadili namna bora ya kuupokea na kuuenzi…

UKIMWI UNAVYOIGHARIMU ZAMBIA KWA MAREKANI

LUSAKA, Zambia WIZARA ya Afya ya Zambia imekuwa ikinufaika na misaada ya afya kutoka Marekani lakini wakosoaji wanasema kuna siri nzito inayoendelea nyuma ya pazia. Marekani imekuwa ikiipatia…