MAKALA

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini dhidi ya Hull City na dakika za nyongeza za mchezo huo...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...
spot_img

TUMEMSAHAU MTEMI MILAMBO NA KISIMA CHAKE

GEORGINA ROESER HISTORIA ya Tanzania ina mashujaa wake. Mtemi Milambo wa Wanyamwezi ni miongoni mwa mashujaa wa Taifa letu ambaye historia yake tumeienzi kwa kuwa...

USHUNGI WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA UJUMBE MARIDHAWA

ABBAS MWALIMU PICHA rasmi za Rais wa Sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (napenda nimwite Mama Tanzania, nitasema sababu baadaye) zimetoka, zimeanza kuwekwa katika ofisi...

BUSU LA UPENDO KUTOKA CHINA

MOURENE MALLYA CHINA siyo Taifa lililopiga hatua kubwa katika mchezo wa Kun-fu pekee, bali kuna mengi ya kujifunza katika Taifa hilo kubwa na lenye nguvu...

VYOMBO VYA HABARI MAREKANI NA ULAYA MAHUSUSI KWA PROPAGANDA

VYOMBO vya habari vya mataifa ya Ulaya na Marekani kwa mfano BBC, VOA, DW ni vyombo vya propaganda vya Serikali za mataifa yao. Hilo si...

MATAJIRI DAR WADAIWA KUUNDA GENGE LA UPATELI

RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 83 GENGE la watu wanaodaiwa kuwa na utajiri mkubwa jijini Dar es Salaam linadaiwa kuunda mtandao wa kujipatia mamilioni ya fedha...

DED SHARIFA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI NJOMBE

RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MAKALA MAALUMU MKOA wa Njombe upo katika kampeni ya kukuza sekta za viwanda na uwekezaji. Kampeni hiyo inakwenda kwa kasi na...
spot_img