MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki Barcelona anakocheza kwa mkopo. Rashford hajaitumikia Man United tangu Desemba,…
CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha kuvaa viatu vya Robert Lewandowski. Lewandowski raia wa Poland, anatarajiwa…
LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la Kwanza England (Championship) akiwa na Leicester City, Jeremy Monga. Monga…
LONDON, UingerezaKLABU ya Newcastle United itampiga bei straika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Yoane Wissa, ambaye alisajiliwa kwa ada kubwa ya Pauni milioni 50 akitokea…
MERSEYSIDE, UingerezaLIVERPOOL imeungana na klabu zingine kubwa za Ulaya zinazomtolea macho kiungo wa Crystal Palace, Adam Wharton. Mtandao wa talkSPORT umeripoti kuwa nyota hiyo anatarajiwa kuondoka Palace mwishoni…
LONDON, UingerezaMECHI za marudiano hatua ya robo fainali ya msimu huu wa Ligi ya Europa zilimalizika usiku wa jana Aprili 16, 2026. Hivyo, timu nne zinazosubiri kuumana katika…
LONDON, UingerezaSIMANZI nzito imetawala katika ulimwengu wa soka baada ya taarifa za kifo cha mlinda mlango wa zamani wa klabu za Liverpool na Arsenal, Alex Manninger. Manninger (48),…
LONDON, UingerezaMABOSI wa Real Madrid wanatembea na majina ya makocha wawili, Jurgen Klopp na Mauricio Pochettino, na huenda mmoja wao akaajiriwa kuinoa timu hiyo. Madrid kwa sasa iko…
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello, amethibitisha kuwa Yanga haikufanya makosa kumsajili wakati wa dirisha dogo lililopita. Okello alisajiliwa Januari, 2026, wakati wa usajili wa dirisha dogo,…
LONDON, UingerezaARSENAL wako kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) lakini ni pointi sita pekee zinazoitenganisha na Manchester City inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo. Wakati…