Habari Kimataifa

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga). Eta mwenye umri wa miaka...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...

MOHAMED BIN SALMAN AKUTANA NA RAIS WA ULAYA KUZUNGUMZA KUHUSU KUIMARISHA USHIRIKIANO

Mkuu wa Taji wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, amekutana na Rais wa Baraza la Ulaya, Antonio Costa,...
spot_img

MADAKTARI WASAIDIA KUFA MUME NA MKE

WANANDOA Jan aliyekuwa na umri wa miaka 70 na Els   aliyekuwa na umri wa miaka 71 wamefariki dunia mapema mwezi Juni, 2024 baada ya...

MTUNZA FUNGUO ZA AL – KAABA AFARIKI DUNIA

MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA MTUNZA funguo za eneo takatifu kwa waumini wa dini ya kiislamu, Dk. Saleh bin Zainul Abedin Al Shebi amefariki dunia...

PAPA AHUBIRI UMOJA, AKATAA UNAJISI

Vatican PAPA wa Kanisa Katoliki ambaye ni Askofu wa Roma, Papa Fransisco amewataka waumini wa Kanisa Katoliki kuishi katika umoja na kutotengana kwa sababu ya...

ZUMA AHUKUMIWA

MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA RAIS wa zamani wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma amezuiwa na Mahakama ya Juu ya Kikatiba ya nchi hiyo kugombea...

ICC YAWAWINDA BENJAMIN NETANYAHU, YOAV GALLANT

MASHIRIKA YA KIMATAIFA MWENDESHA Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), Karim Khan ametangaza kusudio la ofisi yake la kuwakamata na...

RAIS WA IRAN KUZIKWA LEO

MASHIRIKA YA KIMATAIFA RAIS wa Iran, Ebrahim Rais aliyefariki dunia jumapili, Mei 19, 2024 kwa ajali ya helikopta huko Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo, anatarajiwa...
spot_img