MUNICH, Ujerumani
JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga).
Eta mwenye umri wa miaka...
MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA
TAKA za plastiki sasa zinatumika kununua chakula kwenye migahawa nchini India.
Kwa mujibu wa mashirika ya habari ya kimataifa, manunuzi ya chakula...
Mteule wa Rais Samia Suluhu Hassan na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI...
RIPOTA PANORAMA
RAIS wa kwanza wa Namibia, Sam Nujoma amefariki duniani leo akiwa na umri wa miaka 95.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya...
MASHIRIKA YA HABARI
MAKAMU wa Rais wa Namibia, Netumbo Nandi Ndaitwah ametangazwa mshindi wa nafasi ya Rais nchini Namibia kwa kupata asilimia 57 ya kura...
MASHIRIKA YA KIMATAIFA
WAZIRI wa Ulinzi wa Israel, Yoav Gallant ametuma ujumbe kwenye mtandao wa X unaoeleza kuwa uteuzi wa kiongozi mpya wa kundi la...