MUNICH, Ujerumani
JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga).
Eta mwenye umri wa miaka...
VATICAN
MWILI wa Papa Mstaafu Benedikto XVI, aliyefariki dunia Disemba 31, 2022 umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huko Vatican ambako watu kutoka mataifa...
MASHIRIKA YA HABARI
VATICAN
Kardinali Joseph Aloisius Ratzinger ambaye ndiye Papa Benedicto wa XVI, ameumaliza mwendo, amepigana vita vilivyo vizuri, imani ameilinda.
Papa Mstaafu Benedicto XVI aliyekuwa...
RIPOTA PANORAMA
WAKATI Shirika la Ndege la Kenya likiendelea kujiimarisha kwenye uwekezaji na kuongeza idadi ya ndege, taarifa kutoka Ofisi ya Hazina ya Taifa hilo...
SEOUL, KOREA KUSINI
WATU 151wamefariki dunia katika mkanyagano uliotokea wakati wa sherehe za Halloween mjini Seoul, Korea Kusini.
Vifo hivyo vimetokea Jumamosi Oktoba 29, 2022 usiku...
CONGO, DRC
JAMHURIi ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemfukuza balozi wa Rwanda nchini humo, Vincent Karega huku ikimpa saa 48 kuondoka nchini humo.
Hatua hiyo inakuja...
MOGADISHU, SOMALIA
MJI mkuu wa Somalia Mogadishu umekumbwa na milipuko miwili mchana huu.
Moshi mweupe unaweza kuonekana ukifuka karibu na ofisi za Wizara ya Mambo ya...