MUNICH, Ujerumani
JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga).
Eta mwenye umri wa miaka...
ABBAS MWALIMU
0719 25 84 84
WANAJESHI wapatao 900 kutoka Kenya wapo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Democratic Republic of Congo - DRC kwa ajili ya...
RIPOTA PANORAMA
SAKATA linalotokota chini kwa chini kwa muda mrefu sasa linalohusu Kampuni ya Symbion Power LLC kulipwa na Serikali, Shilingi bilioni 350 huku ikiwa...
CHARLES MULLINDA
KUNA mijadala mingi inayoendelea kuhusu kushambuliwa na Serikali na Bunge kumtelekeza kwa kutomlipia gharama za matibabu mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na...
RIPOTI MAALUMU (1)
HEKAHEKA za wazungu kutaka kuzuia mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere katika Mto Rufiji zimewainua wataalamu...
RIPOTI MAALUMU (3)
HII ni sehemu ya tatu ya ripoti maalumu ya utafiti uliofanywa na watalaamu bingwa wazalendo dhidi ya hekahela za wazungu za kutaka...