Habari Kitaifa

HAYA NDIYO USIYOYAJUA KUHUSU FEISAL SALUM ABDALLAH (FEI TOTO)

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

ENDELEENI KUFICHUA UKATILI KWA WATOTO

RIPOTA PANORAMA WAKATI taasisi ya Save the Children, ikizindua dawati la ulinzi wa mtoto Shule ya Msingi Levolosi jijini Arusha na mabaraza ya watoto kwa...

WAFUASI WATATU CHADEMA KORTINI

RIPOTA PANORAMA WATU watatu waliokuwa wakishikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jana walifikishwa kortin wakituhumiwa kufanya mkusanyiko usiokuwa halali. Watuhumiwa hao ambao wafuasi wa Chama...

KIJO-BISIMBA ATAKIWA KUPIMA KAULI ZAKE

RIPOTA PANORAMA UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM), umemtaka Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba kupima kauli zake...

AJINYONGA KWA HOFU YA RANGI YA RAIS SAMIA NA RC KAFULILA

RIPOTA PANORAMA0711 46 49 84KATIBU wa Chama cha Msingi cha Ushirika (AMCOS) cha Kijiji cha Sulu, Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, Daniel Jilala (43)...
spot_img