MUNICH, Ujerumani
JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga).
Eta mwenye umri wa miaka...
MOGADISHU, SOMALIA
MJI mkuu wa Somalia Mogadishu umekumbwa na milipuko miwili mchana huu.
Moshi mweupe unaweza kuonekana ukifuka karibu na ofisi za Wizara ya Mambo ya...
MOSCOW, URUSI
URUSI imeishutumu Ukraine kwa kufanya shambulizi "kubwa" la ndege zisizo na rubani kwenye makao makuu ya Meli zake katika Bahari Nyeusi mji wa...
NI miaka 72,000 kabla ya Kristo wakati volkeno kubwa iitwayo Toba, iliyo katika kisiwa cha Indonesia cha Sumatra, ililipuka. Ilichukuliwa kuwa tukio kubwa zaidi...
RIPOTA PANORAMA
WAKATI taasisi ya Save the Children, ikizindua dawati la ulinzi wa mtoto Shule ya Msingi Levolosi jijini Arusha na mabaraza ya watoto kwa...
RIPOTA PANORAMA
WATU watatu waliokuwa wakishikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jana walifikishwa kortin wakituhumiwa kufanya mkusanyiko usiokuwa halali.
Watuhumiwa hao ambao wafuasi wa Chama...