Tag: MCHOKONOZI

spot_imgspot_img

EDWARD LOWASSA, ASIPOKUBALI KUFA, AKAZIKWA HATAFUFUKA

<!-->st1:*{behavior:url(#ieooui) } <!--> LowassaKUNDI dogo la waombolezaji wa kisisasa limetawanyika katika sehemu mbalimbali za nchi yetu, huku kila mwanakikundi huko aliko akiwa anatoa kilio...

KIKWETE ANAOGOPA, TUMTIE MOYO

Jakaya Kikwete RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete amekumbwa na woga mkuu kiasi kwamba sasa anajiogopa hata yeye mwenyewe.Anaogopa kufanya mambo yaliyo ndani ya...

SIKIA HAYA YA MSHANA WA MAELEZO

NILIKUWA Dodoma mwezi uliopita, nilikuwa huko kwa zaidi ya wiki moja. Nilikwenda kuhudhuria uzinduzi wa bunge la kumi na shughuli nyingine kadhaa za kitaifa...

RAIS KIKWETE, DADA JOYCE MCHOKOZI

RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete, ninaleta mashtaka kwako. Ninamshtaki Dada Joyce Mapunjo, ananichokoza. Ananitisha kwa kutumia kaukubwa ulikompa katika ofisi yetu.Mashtaka haya nayaleta...

TUTAKUMBUKWA KWA KIFUNGO CHA SIKU 90

Historia ya uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, Afrika na ulimwengu kote haiwezi kusomeka kwa usahihi pasipo kuitaja Kampuni ya New Habari (2006)...

KUBENEA ASEMA ZAIDI YA MILIONI 90 KUKARABATI SHULE ZA MSINGI KATA YA MAKUBURI

 Mbunge wa Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na Wanafunziwa Darasa la Tatu wa Shule ya Msingi Makuburi wakati alipokwenda kukagua ukarabati wa Madarasa wa shule hiyo...