Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa UN-HABITAT alipoingia katika ofisi za shirika hilo jijini Nairobi, Kenya kusaini hati ya makubaliano ya ushirikian
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk. John Simbachawene wakiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Makazi Duniani (UN- HABITAT) Maimunah Sharif baada ya kusaini hati ya makubaliano ya ushirikiano jijini Nairobi, Kenya leo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Makazi Duniani (UH-HABITAT) Maimunah Sharif jijini Nairobi, Kenya leo.